Sunday, 8 July 2012

Kamati ya Bunge ilipotembelea balozi zetu Amerika


Kumbe na mke wa Lowassa ni mbunge siku hizi? Nisaidieni jamani. Maana naambiwa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ipo kazini huku 'mbunge' asiye wa viti maalumu wala kuchaguliwa Regina Lowassa na mumewe wakichukua nafasi ya mbele. Jamani nchi yetu! God forbid if anybody with common sense comes to power, chances are many will end up in Lupango. Au siyo?

1 comment:

Anonymous said...

Huyo mke wake na fisadi mwenyewe wanakasumba ya sense of entitlement. Wanajua wanaabudiwa regardless.

Halafu angalia mijitu mizima hii ya ubalozini inavyonyenyekea utadhani mi-houseboy wa Wahindi. Kudaadeki! Unachunguza kitu gani wakati kitu cha kwanza alichofanya huyu msanii na fisadi kubuhu ni kutoa "zawadi" kwa wachunguzwao?