Friday, 13 July 2012

Mgonjwa anapomtoa roho mgangaTukio lililotokea kwenye kijiji cha Kakese wilayani Mpanda hivi karibuni linasikitisha sana na kuziweka sheria zetu kwenye changamoto. Nani aliamini kuwa mganga wa kienyeji aliyepokea wagonjwa watatu waliosemekana kuwa na mapepo angeishia kuuawa na mgonjwa wake? Cha kusikitisha zaidi ni kwamba yule mgonjwa hakuua mganga wake peke yake. Aliua hata wagonjwa wenzake wawili. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: