Tuesday, 17 July 2012

Je utaamini haya ni magari ya starehe-Limos?


Walimwengu kwa vitu we acha tu. Huu mchuma umetokea kuwa maarufu katika mji Arizona ambapo mwenye hujivinjari nao. Iga ufe. Je ndugu zangu wanaopenda kuigiza milegezo ya chupi  na kubomoa misikio mtaiga ni hii? Thubutu!

Hii nayo vipi? Imetulia? Kidogo inaridhisha ikilinganishwa na huo mdude hapo juu. Au siyo?

Nyingine hii hapa.

Tuache utani hili baba lao.

No comments: