Tuesday, 24 July 2012

Viongozi au viongoziii!


Makamu wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Balozi Seif Idd akipokea msaada wa kutunisha mfuko wa maafa toka kwa mwakilishi wa kampuni ya Beijing Construction Engineering Group hivi karibuni.

Wanazembea, wanasababisha ajali, wanapokea misaada, misaada haifiki bado wanawaahidi makubwa watanzania kama kuwanunulia meli! Makamu wa pili kila picha wakati mwingine rais mwenyewe. Huyo makamu wa kwanza bwana mmoja toka CUF kazi yake nini? Kukaa ofisini na kupasha kiti moto?

1 comment:

Anonymous said...

bwana mmoja toka CUF kazi yake kuzuwia meli zisizame
Utumbo.kwa daga.Au tapo kwa daga
Embe na matako A.K.A Matango