Thursday, 5 July 2012

Mlinzi atimuliwa kazi kwa kumuokoa mtu!


Lifeguard Tomas Lopez was fired for trying to save a man's life (NBC Miami)

Mlinzi Tomas Lopez (21) wa Florida nchini Marekani amejikuta akiponzwa na wema na utu wake. Ni pale alipoondoka kazini kwake kwenda kumuokoa mtu aliyekuwa akionekana kuzidiwa na maji alipokuwa akiogelea. Kwa vile aliacha lindo lake na kwenda kumuokoa huyo mtu ambaye hakuwa hata akimjua, waajiri wake waliamua kumtimua jambo ambalo limesababisha utata mkubwa baada ya habari hii kusambaa kwenye mtandao. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: