Monday, 9 July 2012

Kim Jong Un na kisura wawachanganya wakorea


Screen grab taken from North Korean TV on July 9, 2012 shows an unidentified woman accompanying Kim Jong-Un (C) during his visit to Kumsusan Palace in Pyongyang on July 8, 2012
Wananchi wa Korea ya Kaskazini wamejikuta kwenye utata mkubwa kuhusiana na msichana mmoja anayeonekana karibu na kiongozi wao Kim Jong-un kwenye hafla za kitaifa bila kujulikana ni nani. Wapo wanaosema eti huyu binti ni mchumba au mkewe na wengine dada yake. Si  Jong-un wala wasemaji wake wako tayari kuondoa sintofahamu hii. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: