Friday, 13 July 2012

Waarabu wa Pemba: Huenda bado lao moja


Siku rais Jakaya Kikwete alipokutana na waziri mkuu wa zamani  na mshirika wake mkuu Edward Lowassa jijini London. Kweli alisema Lowassa kuwa urafiki wao si wa barabarani. Nani atalibishia hili iwapo Lowassa,pamoja na kuondolewa kwa kashfa ya Richmond, anaendelea kulipwa mamilioni ya shilingi kama mstaafu wakati hajawahi kustaafu zaidi ya kuchafuka? Hiyo ndiyo Bongo yenu.

2 comments:

Anonymous said...

Warabu wa Pemba hujuwana kwa Vilemba

Guzman said...

Warabu wa Pemba hujuwana kwa Vilemba