Rais wetu amekumbushwa na waingereza ambavyo hakupaswa hata kuhudhuria mkutano huu. Maana alipokelewa na waziri mdogo waziri mdogo!