Enoch Monkayi Sontonga ndiye aliyetunga wimbo wa Inkosi Sikeleli IAfrika ambao ni wimbo wa taifa wa mataifa ya Tanzania Afrika Kusini na Zambia. Wimbo huu aliutunga mwaka 1897 katika lugha ya kihoxa. Wasiofuatilia wanaweza kushangaa inawezekanaje wimbo mmoja ukawa wimbo wa mataifa zaidi ya moja. Ni kwamba Inkosi Sikeleli IAfrika imetafsiriwa kwa lugha za taifa za nchi za Tanzania na Zambia. Mungu amuweke pema peponi shujaa huyu aliyekufa mwaka 1905.
2 comments:
Mataifa mane yote yatakuwaje na wimbo wa taifa mmoja.
pili lugha ni tafauti aliutunga kwa lugha gani hebu fafanua sio kuleta habari huna hakika nazo humu.
Alitunga wimbo wa taifa na tanganyika ilikuwa inatawaliwa mbona haifahamiki.
hebu tiririka:
Kwa vile mmezoea kutafuniwa, nshakutafunia.
Post a Comment