Saturday, 14 July 2012

Eti na mbuzi wana-surf!


Dana McGregor and his surfing goats (AP Photo/The Orange County Register, Rod Veal)

Jamaa mmoja, Dana McGregor (pichani) kwenye jimbo la California ametoa mpya baada ya kuwafundisha mbuzi wake ku-surf. Habari hii imewastua wengi kutokana na hatari ya ku-surf bahari ambapo mara nyingi kwaweza kutokea ajali ya kuzama hata kushambuliwa na papa. Lakini penye nia pana njia. McGregor alitimiza ndoto yake ya kuwafundisha mbuzi wake wawili kufanya anachopenda, ku-surf! Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: