Sunday, 8 July 2012

Bongo taifa la machangu


Wamejaribu kuigiza wakanoa. Sasa wanatafuta soko kwa njia masumbwi. Angepatikana kungwi kuwafunda na kuwaonya kuwa kuna kesho, wasingepoteza muda kutafuta umaarufu na soko uchwara namna hii. Nami ameliroga taifa letu Yarabi?

2 comments:

anjela said...

ha ha haaaaaaaaaaa real talk bro,naipenda sana blog yako coz u'r always real.keep it up

Anonymous said...

inaonyesha ni jinsi gani umaarufu wao unavyowatesa hawa malaya wameshajiuza sana mpaka sasa wamechokwa hivyo ni halali yao kufanya matangazo upya(msitu mpya nyani walewale)