Friday, 6 July 2012

Polisi wa watu


(YouTube)


Jamaa fulani nchini Kanada walikuwa msituni wakijiburudisha. Mara ghafla gari la polisi likasimama walipokuwa wakipiga magitaa na ngoma zao. Wao walidhani walikuwa wametenda kosa! Kumbe askari naye alikuwa amekuja kujiburudisha nao! Wenzetu hawana cha kubambikiziana njaa wala uombaomba na roho mbaya kama jamaa fulani mahali fulani. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

1 comment:

anjela said...

umbumbumbu ndugu yangu mijitu yenyewe karibu yote imefoji vyeti unategemea nini? na walioenda shule kweli wakiomba mazingira bora ya kazi wanang'olewa meno.