Tuesday, 10 July 2012

Tazama picha hiyo uamue huyo ni nani?

Kwa waendeshaji wa magari watakubaliana nasi kuwa huyu jamaa si wa kawaida kwa jinsi anavyolichezesha gari. Endelea kujionea mwenyewe halafu utoe maoni yako ukitaka.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mie nahisi ni Ken Block na tena anatoka mkoa huu niishio kama majina hayafanani lakini..Kweli anaweza kucheza na gari..

NN Mhango said...

Kumbe unamfahamu! Karibu tena na asante sana kwa kuwa mgeni wangu wa mara kwa mara. Nami nitajitahidi kuwa napita ugani mwako na kuacha unyayo kama ufanyavyo kwangu.Karibu tena.

Castillojjyh said...

Kumbe unamfahamu! Karibu tena na asante sana kwa kuwa mgeni wangu wa mara kwa mara. Nami nitajitahidi kuwa napita ugani mwako na kuacha unyayo kama ufanyavyo kwangu.Karibu tena.