Thursday, 12 July 2012

Marekani: Misukosuko kiuchumi Kanada yaanza kunufaika


canadian press logo The Canadian Press Images US/Canada Blue Water Bridge with a ship passing through - STRSCH 02841504 The ship "Walter J. McCarthy Jr.", owned by the American Steamship Company passes under the US/Canada Blue Water Bridge at Sarnia Port Huron MI. (CP Images)


Kutokana na hali ya uchumi wa Marekani kutoimarika, jirani yake wa kaskazini, Kanada imeanza kunufaika baada ya wamarekani wengi kuhamia  wakitafuta maisha mazuri na kazi nzuri. Hapo mwanza hali ilikuwa kinyume kutokana na uchumi wa Marekani kuwa imara. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: