Monday, 23 July 2012

Je wajua kuwa hii nayo ni nyumba?


This is being billed as the world's tiniest home, spanning exactly 1 square meter. (BMW Guggenheim Lab)

Eti hiyo hapo nayo ni nyumba. Je inakufundisha nini? Haiwezi kuwa nyumba kwenye maeneo au nchi zenye kila aina ya ujambazi. Pili haiwezi kuwa  nyumba kwenye nchi ambapo watu wake hupenda sifa na kujenga mahekelu. Hiwezi kuwa nyumba kwa vile haina jiko, choo, hata sehemu muhimu kama vile hati ya uwanja na mengine mengi. Hata hivi nyumba za aina hii zingeifaa sana Tanzania hata Kenya kwa kuwanunulia ombaomba waliojazana mijini. Wataalamu wa maisha bora kwa wote wanaweza kununua nyumba hizi na kudai wamewanunulia nyumba watanzania. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: