Saturday, 21 July 2012

Hivi ndivyo wezi wakubwa wanavyolindana


Jackie Selebi leaves court on 2 August 2010
Mkuu wa jeshi la Polisi nchini Afrika Kusini, Jackie Selebi pichani alihukumiwa kifungo cha miaka 15 baada ya kupatikana na makosa mbali mbali ikiwemo ufisadi. Alipatikana na hatia mwaka 2010. Baada ya wakubwa kugundua kuwa mwenzao anaweza kumwaga mtama au kutoa picha mbaya kwao kufungwa baadaye, wamekuja na sanaa za eti kumwachia kutokana na kuwa na afya mbovu. Hivi ndiyo mafisadi wenye madaraka wa kiafrika wanavyolinda. Edward Lowassa na Jakaya Kikwete wanalifahamu hili sana. Vinginevyo Lowassa angekwisha kufikishwa mahakamani kwa makosa aliyotenda kwenye skandali ya Richmond hadi akakiri na kuachia ngazi. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: