The Chant of Savant

Friday 23 November 2012

Heshima, kujikomba au kupenda usomi?

Je hapa nani anamdanganya nani?

Rais Jakaya Kikwete akipokea cheti cha Udaktari wa  Afya ya Jamii (Public Health) Honoris Causa toka kwa makamu  mkuu wa Chuo kikuu cha Sayansi na Afya Shirikishi Muhimbili, Prof Ephata Kaaya ikulu jijini Dar es salaam. Kikwete alitunukiwa shahada husika mwaka 2010

1 comment:

Anonymous said...

hiyo comment za kijinga tuondoleee
au umeipenda