Kwa waliojua mchezo mzima walifahamu fika kuwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (BMK) Samuel Sitta alikuwa amepewa kitanzi ajimalize, rais Jakaya Kikwete na chama chake walitumia nafasi hii kummaliza Sitta kutokana kufahamu alivyo na uchu wa urais. Kwa hali ilivyo, kazii hii chafu, ambayo Sitta ameifanya kwa umahiri akijichafua kuliko wakati mwingine, ndoto ya urasi ya Sitta imeyeyuka kama kibonzo kionyeshavyo.
No comments:
Post a Comment