Jizi la IPTL Harbinder Singh Sethi akitoa mfano wa cheki ya shilingi 20 milioni kwa mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa habari za michezo (TASWA). Huyu jizi amekuwa bingwa wa kuhonga kuanzia makanisa, vituo vya polisi nk. Inashangaza kuona jizi lililoiba mabilioni ya Escrow linamega kidogo kuwapumbaza walafi na wapumbavu wenye kutumia matumbo kufikiri.
No comments:
Post a Comment