How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do
Saturday, 30 June 2018
Hujafa hujaumbika-Asante rais Magufuli
Kwa wanaojua tapeli James Rugemalira alivyojilisha pepo chini ya tawala fisadi za Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, hakuna aliyedhani angelipia hadi kuonyesha kuishia pakanga. Ukiangalia picha zake zama za enzi zake na wateule waovu, huwezi kuamini kuwa unamuangalia kiumbe yule yule kwenye picha zake baada ya utawala wa awamu ya tano kumtolea uvivu. Ama kweli, hujafa hujaumbika. Je akina Chenge, Kisena, Lugumi na Rostam watafuata lini? Kazi kwa rais Magufuli.
No comments:
Post a Comment