The Chant of Savant

Wednesday 29 July 2020

BURIANI MSHAIRI ABDALLAH MWASIMBA

Mshairi maarufu wa Kenya na Afrika Mashariki Abdallah Mwasimba hatunaye. Ni pigo jingine kwa Malenga wa eneo hili. Alizimanya na kuzitunza siri za ushairi kama kunga ya familia. Kwa washairi kama sisi, tunajua thamani ya mja huyu katika tasnia hii adhimu na adimu kwa sasa. Malenga wamepungua kwa vile wamepotea. Huyu naye afuatia, nani pengo ataziba? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA 

No comments: