The Chant of Savant

Sunday 5 July 2020

KWELI LISSU HAJAPONA. SIJUI NI KUTAFUTA KIKI SIJUI SIJUI SIJUI SIJUI


Kweli demokrasia wakati mwingine inaweza kuwa ghasia.
Hapo juu Tundu Lissu mwanasheria wa CHADEMA ameamua kututania
Anatangaza kuchukua fomu za kugombea kupitia mwakilishi!
Sijui nani amemshauri Lissu kufanya huu utani.
Anachukua fomu kupitia mwakilishi
Je ataongoza kwa wawakilishi?
Kutokuwa kwake nchini kunaonekana kumuathiri vibaya Lissu
Hajui kuwa, kwa sasa, Tanzania hakuna anayeweza kumshinda Magufuli?
Lissu kweli hajapona
Maana anapowalaumu polisi kwa kutokumpa ulinzi inashangaza
kwanini? Kwa sababu siku zote ametuhumu vyombo vya usalama kumshambulia
Sasa hii imani na polisi, kama kweli Lissu yuko serious, inatoka wapi?
Utani mwingine mbaya hata kama ni kutafuta kiki.
Lissu tulia utibiwe upone ndugu yangu kuliko kuendelea kujivua nguo.

No comments: