Je waweza kuamini kuwa binti huyu alimuua mumewe kwenye honeymoon?
Kisa cha kweli kimetokea nchini Marekani ambapo mwanamke Jordan Linn Graham aliamua kumuua mpenzi wake kwa kumsukumiza kwenye bonde wakiwa matembezini kwenye honeymoon yao. Ni kitu cha ajabu. Je inakuwaje wauaji kama hawa wanapendwa na kupata nafasi ya kutekeleza ushetani wao? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
No comments:
Post a Comment