How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do
Wednesday, 30 April 2014
Diwani anapomshauri rais kuacha kuvuta bangi
Samwel Aboko Onkwani diwani wa Kiogoro nchini Kenya ametoa mpya baada ya kuwashauri watu wa karibu ya rais Uhuru Kenyatta aache kuvuta bangi. Onkwani amefunguliwa mashitaka kwa kudhalilisha mamlaka na yuko nje kwa dhamana ya shilingi za Kenya 50,000. Onkwani anadaiwa kutoa maneno hayo kwenye mkutano wa hadhara aliufanya Agosti 28, mwaka jana. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
No comments:
Post a Comment