How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Monday, 11 May 2015

Breaking news: Nyuma Ya Pazia yaingia kwenye vitabu vya kiada kwenye mtandao wa google scholar











  











Kwa wasomi wanaopenda kuandika juu ya masuala mbali mbali ni lazima watoe ushahidi toka kwenye kazi za kitaaluma za wasomi wengine zilizopitiwa, kuhakikiwa, kupitiwa na kupitishwa na jopo la wasomi wengine na kuwa za kiada au (Academic sources) ambazo zinaweza kufanyiwa rejea za kitaaluma. Mojawapo ya sehemu ya kupata kazi za kitaaluma kirahisi ni kwenye mtandao wa google scholar.
Baada ya kutoka mwezi wa pili mwaka huu kitabu changu cha NYUMA YA PAZIA sasa kimepitishwa na kuwa kitabu cha kitaaluma rasmi.
Kwa wenye kutaka kukisoma katika nafasi yake mpya link yake ni http://books.google.ca/books?hl=en&lr=&id=ZtmVBgAAQBAJ&oi=fnd&pg=PP1&dq=nkwazi+mhango&ots=hLCNGW17l6&sig=AgRMNwfEoFWq3FcGQH8vCSPKcOw#v=onepage&q&f=false
Habari ndiyo hiyo.






No comments: