The Chant of Savant

Sunday 11 April 2021

AFRIKA TUMEFIKIA HAPA NA NINI DAWA YA BALAA HILI?


Je kweli kuna ukosefu wa wanaume? Je wanawake ni wengi kuliko wanaume? Je ni tatizo la mtu binafsi au jamii? Je tusikilize upande mmoja bila kujua ni kitu gani kimemfikisha dada yetu huyu hapo alipo anapoonyesha kukata tamaa? Je hii ni mbinu ya kutafuta mchumba au umaarufu? Je hapa tatizo ni nini? Mila za Kiafrika hufundisha maadili mema ikiwemo kujithamini na angalau kuwa na subira na aibu. Je yote haya yamekwenda wapi?

No comments: