The Chant of Savant

Saturday 24 April 2021

SAKATA LA BANDARI BAGAMOYO MAJIBU HAYA HAPA


 

2 comments:

Mtwangio said...

Salamu!
Mm ni ktk wanao kusoma na kukufuatlizia kwa miaka mingi lkn kwa bahati nimekua nj ya net kwa kitambo sasa niliporudi nimeona MABADILIKO katika kuzisoma makala zako zingine zinasomeka na zingine hapana je ni nn kinachoendelea?Tuna hamu na shauku kubwa kuendelea kukusoma na kukufuatilizia
Swali ni hili je ni mwenyewe ndie unazifunga makala hizo ikiwa jawabu ndio je kwa sababu gani za kimsingi na ikiwa hapana je nani hao waliokua nyuma za kuzifunga makala hizo?!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Ndugu yangu Mtwangio, kwanza, nisamehe kwa kuhelewa kujibu. Kwani sikupata comment yako. Pili karibu tena ugani. Tatu, asante kwa kunijuza kuwa baadhi ya makala hazisomeki. Nne, sijawahi kufunga makala yoyote. Tano, nitafuatilia kuona wapi kuna tatizo. Sita, NAKUKARIBISHA TENA.
SABA, NAKUSHUKURU TENA KWA KUTUKUMBUKA, KUTUTEMBELEA, KUTUSOMA NA KUTUSHAURI.