How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Tuesday, 24 July 2012

Monsinyori afungwa kwa kuzaidia mapadre kunajisi


Monsignor William Lynn in March 2012
Ingawa miaka mingi imepita tangu kashfa ya uzinzi na unajisi kwenye kanisa la Katoliki ifumke, wengi wa waliotuhumiwa waliweza kupotea kimya kimya bila kufungwa. Monsinyori William Lynn wa Marekani amefungwa kwa miaka kuanzia mitatu hadi sita kwa kusaidia na kuficha visa vya uzinzi vya mapadre waliokuwa chini yake. Akiwa msimamizi wa mamia ya mapadre kwenye jimbo la Philadelphia alikokuwa katibu wa Dayosisi, Lynn anakuwa kiongozi wa kwanza wa juu kufungwa kwa kosa hili. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

4 comments:

Anonymous said...

Basi hilo ni zoezi zuri tunaomba lije na Tanzania
kina Dr silaha tuwatie ndani na wao

Anonymous said...

Hii ingeenda mbali hadi kushuhulikia marais wazinzi kama Jaaakaya. Basi hilo ni zoezi zuri lije Tanzania na akina JK tuwatie ndani.

Anonymous said...

Kabla hawajashika Urais bora tuwatie ndani kwa kutupa familia na mke.
Ili iwe funzo kwa watu kama wao.
Isije kusema hatukusema kabla IKULU kugeuzwa nyumba ya machakubanga

Jaribu said...

Mimi nafikiri Ikulu tayari ni nyumba ya machakubanga, pamoja na kuwa kuna mke ndani na vimada wengi nje kede kede.