The Chant of Savant

Sunday 25 September 2011

HAPPY BIRTHDAY NKUZI



Jana tarehe 25 Septemba kijana wetu Nkuzi Mhango aka Kapayukaji alitimiza mwaka mmoja. Kweli siku hazigandi. Kwani ni kama jana. Jamaa na marafiki walikusanyika kuanzia wenye umri wa miaka miwili hadi 87. Marafiki waliovunja rekodi ni Riadh Salih Hassan toka Darfur ambaye aliwakilisha wazee kwani ana miaka mwili. Naye kijana George Enns toka Kanada aliwakilisha vijana kwenye umri wa miaka 87. Sherehe zilifanyika Altona MB Kanada nyumbani kwao. Habari ndiyo hiyo.

6 comments:

Subi Nukta said...

Heri kwa kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Nkuzi! Ubarikiwe kwa afya njema na mafanikio tele.
Happy Birthday Nkuzi!!!

Hongereni wazazi!

Simon Kitururu said...

Happy Birthday Nkuzi!
Ubarikiwe sana Kapayukaji ili uwe MPAYUKAJI kama BABA!

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA KW SIKU YA KUZALIWA NKUZI...nakutakia kila la kheri na uwe kijana mtiifu kwa wazazi. Pia Mwenyezi Mungu awape wazazi nguvu za kukulea,

malkiory matiya said...

Hongera Nkuzi,mpiganaji junior!

Anonymous said...

Dah! Kapayukaji kumbe ni kadume!

Jaribu said...

Najua nimechelewa sana, lakini nam-wish Happy Birthday Bwana Mdogo!