How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Friday, 4 October 2013

Tufikiri pamoja na wimbo Niache Niende au Ndisiyeni Ndiyende

Ukiona mazonge tunayopitia hapa duniani, wakati mwingine, unashawishika kuamini ahadi za kidini hata kama hazina ukweli na uhakika. Nimependa wimbo huu wa Kinyasa usemao niache niende angalau niwe salama. Kama Mtanzania napata shida wapi niende hasa nikiona utawala wa sasa wa kibabaishaji unavyonajisi kila kitu. Basi nimeamua kujisemea:  NIACHE NIENDE hata kama niendako sipajui. Nitapajua mbele ya safari. Je mwenzangu unajisikiaje katika kitatange hiki?

No comments: