Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli akisimamia ujenzi wa darala la Mpiji Kama waziri atasimamia ujenzi hao wenye kuhusika watafanya kazi gani? Je hizo kazi nyingine za kiutaliwa hasa kutoa maelezo zitafanywa lini na nani? Je huu ni uchapa kazi ua kutafuta umaarufu au mbinu za kizamani za uongozi? |
7 comments:
Hiyo inaitwa ongeza idadi ya watu kazini, na siyo uwajibikaji!
Huyu ndio mchapa kazi anaonyesha mfano
Ahhhh Naona kina nani hino hawapo leo auu Mvua nyingi kina try.
Ahhhh Naona kina nani hino hawapo leo auu Mvua nyingi kina try.
ubabaishaji.com
ukiona nchi inaendeshwa kwa "mastukizi" hivi, fahamu kuna vitu vingi kwenye mfumo haviko pahala pake
bukoba hiyo yeye na profesa TIBAIJUKA kwa kutaka sifa
Anon wote hapo juu mmesema vyema. Hatuwezi kuendesha nchi kwa mastukizi. Anayesema anaonyesha mfano nadhani mfano unaoonyesha si mzuri. Tunapaswa ku-overhaul kila kitu ndipo tuweze ku-function.
Post a Comment