How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Saturday, 13 September 2014

Picha ya wiki: Senior na Junior wanapofanya biashara

Hapa dala dala limepaki likingojea abiria

Hapa bwana mkubwa kaamua kunipa ride baada ya kukosa abiria

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika ni picha ya wiki na imependeza na inapendeza. Sijui biashara ilikwendaje?

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta biashara haikuwa nzuri kwa vile wateja wengi waliogopa dereva mwenye kutokana na umri wake. Na kwa vile yeye ndiye bosi nami sikuweza kuingilia. Isitoshe kujifunza huwa kuna mengi taratibu atakuwa na kujua biashara vizuri.