How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Friday, 5 September 2014

Picha ya leo

Wakati mwingine hujumuika na makamanda na vichipukizi na kucheza na kufurahi nao nipatapo fursa. The nest is still full of course.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Inapendeza sana ,nimependa. Malezi mazuri

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta asante sana kwa kututembelea na kuacha unyayo. Tunajitahidi kulea hasa ikizingatiwa kuwa hao ndiyo warithi wetu.