Wenye mtutu anapopambana na mwenye kalamu...Patamu hapo!! Isipokuwa kalamu inaleta maandishi yanakwenda maktaba kwa ajili ya Binadamu kulisha ya ubongo wake hasa kwa wale wanaopenda kujisomea ili kupambana na mazingira yake kwa vizazi na vizazi vijavyo!
Da Yacinta huyo mbwa si kichaa. Kichaa ni yule anayemwamuru awang'ate watu wasio na hatia. Anon umemena vyema kalama ni silaha bora kuliko bunduki kwani huneemesha ubongo wakati bunduki hubomoa na kuteketeza uhai.
3 comments:
sasa hapo vipi? huyo mbwa kichaa au? sijaipata vizuri hii picha
Wenye mtutu anapopambana na mwenye kalamu...Patamu hapo!! Isipokuwa kalamu inaleta maandishi yanakwenda maktaba kwa ajili ya Binadamu kulisha ya ubongo wake hasa kwa wale wanaopenda kujisomea ili kupambana na mazingira yake kwa vizazi na vizazi vijavyo!
Da Yacinta huyo mbwa si kichaa. Kichaa ni yule anayemwamuru awang'ate watu wasio na hatia.
Anon umemena vyema kalama ni silaha bora kuliko bunduki kwani huneemesha ubongo wakati bunduki hubomoa na kuteketeza uhai.
Post a Comment