Je wajua watu wenye majina marefu barani Afrika?
Japo sina uhakika, kuna uwezekano watu wa kisiwa cha Madagascar wakachukua taji la kuwa na majina marefu kama si duniani basi barani. Leo nitawapa jina la rais mwenye jina refu kuliko marais wote Afrika. Huyu si mwingine ni rais wa sasa wa Madagascar Hery Martial Rajaonarimampianina Rakotoarimanana. Hapa hujawaleta akina Andrianainarivelo, Razafimahatratra, Solonandrasana, Randriambololona, Manjarimanana, Ramanantoanina n.k.
No comments:
Post a Comment