How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Sunday, 17 December 2017

Miaka 10 ugani! Happy Birthday Freethinking

      Image result for photos of freethinking mpayukaji blog             Mnamo tarehe 6 mwezi huu blog hii ilitimiza miaka kumi tangu kuanzishwa. Hata hivyo, nilikuwa na majukumu ya kuhakiki kitabu, hivo, sikuwa na muda wa kubandika tangazo hili hasa ikizingatiwa kuwa huu ni mwisho wa mwaka. Japo miaka kumi si mingi, ni mingi kidogo hasa ikizingatiwa kkuwa blog hii ni kongwe kuliko wanetu Ng'ani, Nkuzi na Nkwazi Jr, si haba. Kupitia blog hii nimepata marafiki wengi ambao hata hatujawahi kuonana japo tunawasiliana kama vile tumekua wote.  Tunaungana na wasomaji wetu kuwapongeza kwa michango yenu hasa muda na mawazo mlivyokuwa mkitoa kwa miaka kumi iliyopita. Tunawaomba muendelee kutoa michango yenu kama kawaida. Kwa leo sisemi mengi zaidi ya kuwatakia wasomaji wangu heri ya mwaka mpya.
Image result for photos of nkwazi mhango

No comments: