Heko Rais Magufuli

Thursday, 7 December 2017

Zuria jekundu kwa madame presidente au raisa

Mke wa rais wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar Mwanamwema Shein akitanua kwenye zuria jekundu kana kwamba yeye ni rais. Huwa napenda kuwaita hawa maraisa. Je kwa madoido haya yasiyo na nguvu kikatiba tutaepuka kuwa na akina Grace Mugabe katika kila nchi za kiswahili?

No comments: