Heko Rais Magufuli

Saturday, 9 December 2017

Nani alijua mbabe kama Mkapa angenywea na kugeuka kituko wakati mwingine?
Kwa wanaokumbuka ubabe na vimbwanga vya rais mstaafu Benjamin Mkapa, wakiangalia picha hiyo hapo juu wanashangaa na kukubali kuwa kweli kila lenye mwanzo lina mwisho. Tambo, matusi, majigambo sasa hakuna baada ya kugunduliwa ufisadi wa Mkapa na mkewe kiasi cha kutegemea ulinzi wa rais pale raia walipotaka ashughlikiwe. Ama kweli madaraka ni kama suti mabegani mwa mvaaji lakini si ngozi mwilini mwa aliye nayo! Je ni wangapi wanajua na kulikubali hili?

No comments: