How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Friday, 21 March 2014

Hii picha ni kanali nani wajameni?

4 comments:

Anonymous said...

Dokta Rais Kanali Jakaya Mrisho Kikwete

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon
Sina uhakika kama umepatia.Maana mwenye picha hiyo hapo juu hajawahi kusoma zaidi ya shahada moja. Hivyo si daktari.

Anonymous said...

Kiongozi mjeshi aliwahi kukaa zanzibar kikwajuni alipokua jeshini baadae kuwa kiongozi wa juuu kabisa wa usalama wa Taifa pia ni daktari.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon hapo juu hujapatia. Huyu wala hajawahi kuwa kiongozi wa majeshi. Nikuibie kidogo. Aliwahi kuwa Casanova na mwenda kwenye madisco usiku na hakukubali kuwa alikuwa mzee.