How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Saturday, 1 March 2014

Deni la Sh. 900 lihapolipwa kwa kutoa mke

Man offers wife to settle Sh900 debt: Patrick Andabwa 31, with Jones Kevogo 40, whom he was allegedly offered to settle a Sh900 debt JARED NYATAYA (Eldoret).
Patrick Andabwa 31, na Jones Kevogo 40 aliyepewa kama malipo ya deni lake la shs. 900 za Kenya.
Kwa mujibu wa gazeti la kila siku la Kiingereza la Kenya la Daily Nation au Taifa la Machi 1, jamaa mmoja nchini Kenya ametoa mpya. Hii ni baada ya kumtoa mke wake ili kumlipa deni anayemdai. Sijui huu tuuite udhalilishaji, kutenda haki au utaahira? Kisa hiki kimetokea na kuripotiwa.Ajabu ya maajabu, mke aliyetolewa kama malipo ya deni amekubaliana na kitendo hiki cha kidhalilishaji huku mama wa mwanaume muoaji akiwahimiza wanaowatakia maisha mema kuwaunga mkono katika maisha yao mapya. Wawili hawa wa aina yake wameahidi kuishi kama mke na mume na kwa upendo mkubwa! Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

No comments: