How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Sunday, 30 March 2014

Tungekuwa na wabunge 50 kama hapa nchi ingepaa

Kumbe wengi hatukumjua Peter Msigwa. Ni kifaa God knows. Kwa maneno yaliyomo kwenye uzi huu sina shaka kusema kuwa the guy is a thinker perse.

3 comments:

Anonymous said...

KWA MANENO HAYA KIZALENDO YA MCHUNGAJI MSIGWA BASI HIYO INAYOSEMAKANA KAMATI KATIBA KWA AJILI KATIBA MPYA BASI MAZINGAOMBWE HAYAO KINACHOFANYKKA HUKO DODOMA HIVI SASA. MAANA WALE WOTE AKILI NDOGO WA BUNGE LETU LA KAWAIDA WAPO WENGI KWENYE HII KAMATI...UKIANGALIA UTAONA YALE YALE MAJINA YA KILA SIKU DOKOTA NDUGAI, WASIRA, LOWASSA, SITA,KINGUNGE NA WENGINEO WENGI

Jaribu said...

Anonymous,

Wote uliowataja hapo juu ni wababaishaji tu. Kuna mwizi, mganga wa kienyeji, mlala bungeni, ili mradi waingize posho.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon na Jaribu
Bunge letu linatia kinyaa God knows.