Uhuni wa Kikwete na Makonda huu hapa
Paulo Makonda mwenye shati jeupe anayeangaliana jaji Joseph Warioba akimvuta kutaka kumpiga. Jana kateuliwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na wale waliomtuma kumdhalilisha Mzee Warioba. Hapa ndipo unafiki na uhuni wa Kikwete unafichuka.
3 comments:
Kifupi cha Mhalifu ni Mh...kwa sasa hapa kwetu Tanzania.
Anon asante sana. Umenifumbua macho. Kumbe mh ni mhalifu siyo? Inapendeza na kushawishi.
Boko haram tutoleeni mjinga huyu
Yaani wazee wazima wakipige saluti kitoto hichi kisa mdomo wake unaonuka na usiiyojuwa wakubwa Hana adabu lakini mkapa alisema msichaguwe Rais kwa uzuri wa sura
Post a Comment