How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Sunday, 21 June 2015

Father's Day nilizungukwa na makamanda wangu kinamna


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Natumaini hiyo siku iliisha vema...Maana ni kweli ulizungukwa..nimeipenda hii picha :-)

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yasinta,
Ni kweli siku ilikuwa tulivu haswa. Kama unavyoona, vitegemezi vya mwisho vilipa tafu huku vikubwa vikiniandalia msosi kwa ajili ya kuenzi ubaba wangu. Shukrani kwa mchango wako.