Baba twaja mbele yako
Mungu mfalme wetu
Sikiliza sala zetu
Twakesha maporini
tukipambana na shetani
Tuma wasaidizi baba
Wawapashe watu wote
Habari zako
Ufalme wako uje
Tutakwenda mataifa kwa mataifa
Kwa jina lako (mfalme)
2 comments:
Bonge la sala nimeipenda hii....Kila atakayepita hapa na awe na mwisho mwema wa wiki...
Da Yasinta nilijua hapa utaacha unyayo hasa ikizingatiwa kuwa hiyo nawe ni asili yako. Nami nimependa mema uliyowatakia wasomaji wangu.
Post a Comment