The Chant of Savant

Saturday 9 May 2020

MUZIKI WA WIKI TEKENYESHI KIFIKRA

Tazama halafu fikiri na uamue kuhusu hizi dini zetu na uchafu uliofichika nyuma ya jina la Mungu. Kuna haya ya waswahili kurejea dini zetu za asili badala ya huu utumwa na utapeli wa wazi wazi.
 Samahani kama hii inakukwaza. Kabla ya kunihukumu, naomba UBONYEZE HII LINK. Je ni vibaka wangapi wamejazana kwenye nyumba za wezi zinazoitwa za Mungu wakati ni za majambazi wa kawaida na wachumia tumbo na wasaka tonge? Tafakari tafadhali.

No comments: