How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Friday 19 June 2020

ALICHOFANYA MAGUFULI KWA HUYU MAMA, AFRIKA TUNGEPATA MAGUFULI HATA KUMI TU TUNGEJIKOMBOA


Japo rais Magufuli ni binadamu, ukweli ni kwamba ana busara kuliko unavyoweza kufikiri. Anafanya kila jambo si kwa ajili ya sifa wala kujifurahisha bali kufanya wengine lau wapate tabasamu usoni. Alichomfanyia huyu mama hakitasahaulika kwa mnyonge yeyote. Magufuli anaweza kuwa na mapungufu kama binadamu yoyote, ila kwa hili amejijengea ubora baina ya binadamu hasa wanaolewa madaraka. 

No comments: