How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do

Wednesday, 21 May 2014

Kumbe TICTS mali ya Karamagi?


Waziri wa zamani aliyeondolewa kwa ufisadi Nazir Karamagi akiwa nchini Ubelgiji na balozi wa Tanzania nchini humo Diodorus Kamala anayekabiliwa na tuhuma za kughushi vyeti vya kitaaluma lakini akalindwa na rais Jakaya Kikwete. Karamagi ndiye mkurugenzi mkuu wa Tanzania International Container Terminal Service Ltd. Inakuwaje waziri aanzishe TICTS akiwa waziri na aendelee kutesa? Je hapa Idd Simba atashindwa kuanzisha na kujiuzia UDA? Je Nyalandu atashindwa kuwa na miraba ya uwindaji na makampuni mengine ya utalii? Je hapa Kigoda atashindwa kwa na hisa kwenye makampuni na miradi anayobinafsisha kwa wawekezaji? 

No comments: