Hapa anaonekana akila na mafisadi |
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana ni mtu asiyeishiwa vituko. Kwa nje ni mtu anayejionyesha kama mpenda maendeleo hasa ya watu maskini. Kwa ndani ni mtu wa kuogopwa kama ukoma. Ni Kinana huyu huyu aliyetuhumiwa kutumia kampuni yake kusafirisha nyara za taifa nje anayejifanya kuwajali hawa anaotuhumiwa kuwahujumu. Wapo wanaosema kuwa anautupia jicho urais japo wanaomjua wanaona kama urais umeishiwa maana.
Hapa anajionyesha kama mtu wa kawaida ila akishaukwaa humuoni |
5 comments:
Hiyo inaitwa kula na kipofu pasipo kumshika mkono ndicho kinachofanywa na CCM, na pia wakifahamua fika hao wapiga kura wao akili zimeganda!
Anon umesema vyema. Ila nina shaka. Hawa vipofu wasiostuka watastuka lini au ni vipofu na mataahira?
Watastuka wakiwa wamezikwa Kaburini!
Wow! Wastuke ilhali wameishafukiwa kweli!
Usha ni wa CCM huo
Wanajua Watanzania kuwadanganya
Kweli nitashangaa Watanzania kuichagua CCM 2015
Post a Comment