Rais wa zamani wa Ivory Coast Gbagbo na mkewe Simone baada ya kukamatwa kwenye handaki chini ya ikulu Wengi watakumbuka hii picha siku walipokamatwa rais Laurent Gbagbo na mkewe Simone ambaye alisifika kuwa rais wa kitandani au nyuma pazia. Mama huyu aliyeogopewa kuliko hata rais mwenye alihukumiwa kifungo cha miaka 20 jela. Mama huyu msomi wa kiwango cha udaktari wa falsafa lakini hovyo pamoja na mumewe profesa walijisahau na kuonyesha kiwango kikubwa cha uchu wa madaraka kiasi cha kufunika usomi wao kiasi cha kukosa nani wa kumshauri mwenzie. Mama huyu alipenda sana madaraka kiasi cha kufanya maamuzi mengine ya kiserikali utadhani alikuwa kachaguliwa na kuapishwa yeye. Hata hivyo Simone ni kielelezo cha wake wengi wa watawala habithi na hovyo wa Afrika.Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
How the Berlin Conference Clung on Africa: What Africa Must Do
Tuesday, 10 March 2015
First lady Simon Gbagbo ahukumiwa kifungo cha miaka 20
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment