The Chant of Savant

Sunday 19 April 2015

My comment of the year

  • Around 300 immigrants aboard a small fishing boat were intercepted by ...

After reading many irresponsible comments on the sinking of the boat carrying at about 700 migrants in the Mediterranean sea, I chipped in by provoking even many writing:-
I fully support this exodus. When Europeans invaded Africa and colonized it didn't know that Africans will one day pay back coming the same way, without passports and visas. The difference however is that Africans are not going there to colonize Europe but seek employments. They are not going there to rob or exploit as Europeans did in the seventeenth and eighteenth centuries. Again, if western countries are not going to stop exploiting Africa by supporting their stooges in power, they must get prepared to be exiled to Americas and Australia for fear of African Arabs and Indians invading them to pay them back for their colonialism and perpetual exploitation. This is historical tit for tat that Europe should accommodate the same her colonial agents were accommodated in Africa and other places she colonized.


6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mmmmhhh kazi kwelikweli hapa!!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yasinta ni kweli ni kazi kweli kweli. Maana wao walikuja bila Hata za kusafiria na kutuibia sasa kwanini wanawazuia wahanga wa jinai yao kuwafuata huko waliko? Waswahili wanasema aliyeko juu usimngoje chini bali mpandie kama wanavyofanha hawa wahamiaji wa kiuchumi.

Anonymous said...

Mwalimu Mhango,uoni kwamba maoni yako haya ni ya kimapinduzi sana na hata naweza kusema kwamba yameambatana na hamasa zaidi kuliko ukweli wa ardhini?Hii exodus sio ya hiyari ambayo waoziancha nchi zao na kuelekea bara la ulaya wanapenda kufanya hivyo.Uhoni kwamba kwa maoni yako haya umewavua majukumu viongozi wetu wa kiafrika ambao wao ndio sababu kuu ya exodus hii isiyokuwa ya hiyari bali wanalazimishwa na hali mbaya amabayo viongozi wetu wa kiafrika kutojali kabisa welfare ya wananchi wao.kama viongozi wetu wengekuwa na hali ya kujali kwa wananchi wao nadhani ambao wangetaka kweelekea bara hilo la ulaya waengelekea wakiwa na heshima na taadhima kuliko hawa ambao wanahatarisha maisha yao na hata wakifanikiwa kuingia bara hilo la ulaya hawana heshima ambayo mwanadamu anastahiki kuheshimiwa zaidi ya kunyanyaswa na kudhalilishwa.naam hata kesi ikiwa ya mfanano ya kwamba wazungu walivamia mabara mengine wakiwa na uchu wa utajiri na kukoloni bila ya pasipoti lakini walipokewa na watu wa mabara hayo kwa mikono miwili na katika usafiri wao hawakuhatarisha maisha yao kama wanavyohatarisha mataifa mengine wanaolitafuta bara la ulaya.
Ebu mwalimu Mhango waangalie wahamiaji wa kiuchumi wa kiafrika walihamia South Afrika pamoja na wengi kulaani kitendo walichofanyiwa waafrika hao na ndugu zao wa South Afrika bado viongozi wetu wa kiafrika ndio wanabeba lawama kubwa kwa kusababisha tatizo hilo.wengi wa wahamihaji hao ni kutoka Zimbwabe,Mozambique,Malawi na Nigeria,lakini ni nadra kuwakuta wahamiaji kutoka Namibia au Angola pamoja na ukaribu wa nchi hizo na south Afrika nadhani jibu lipo wazi.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon una hoja sema nawe umeangalia upande mmoja. Kwangu suala la kukimbilia ulaya lina sura kuu tatu: Utawa mbovu ambapo kama ulivyosema watawala wetu wanahusika moja kwa moja.Hapa siongelei uongozi kwa vile Afrika kwa sasa hakuna uongozi bali utawala na ujambazi.
Pili ni wananchi wenyewe kushindwa kuwawajibisha watawala wao. Mbona Burkna Faso juzi waliweza? Hili nalo linataka wafadhili?
Tatu ni ukoloni kama nilivyoeleza kwenye mchango wangu hapo juu. Anyway usipate taabu. Niko naandika kitabu kiitwacho Africa Reunite or Go to Hell. Nitadurusu ukoloni wa watu weupe na watu weusi kwa umakini huku nikitoa mapendekezo ya kuunganisha Afrika kwa nguvu ya umma.

Anonymous said...

Bravo Mwalimu Mhango, umepiga kila kitu hapo inatosha!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Anon shukrani nawe.